Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday 2 June 2013

CUF YAFANYA MKUTANO MKUBWA

                                         23Rajab,1434 Hijiriyah/ JUNY 02,2013 Miyladiyah

Msanii Talinyo na wenzake wa kikundi cha Full Matatizo cha Bulioni Mjini Unguja wakitoa burudani katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
untitled4 1db6a
Makamo Mwenyekiti wa kamati ya maridhiano Eddi Riami, akitoa nasaha zake kwa wazanzibari, huko katika Mkutano wa CUF ulifanyika kibanda maiti, nje kidogo ya Mji wa Zanziba


untitled5 83901
Waandishi wa habari wa vyombo tofauti Nchini wakihakisha wanapata matokeo mbalimbali yaliojiri katika Mkuto wa CUF ulifanyika kibanda maiti.

untitled6 d4da5
Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria Mkutano wahadhara, wakisikiliza hutba ya Katibu Mkuu wa CUF Taifa ambae pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi hayupo pichani alipokuwa akiwahutubia katika viwanja vya kibanda maiti nje kidogo ya Mji wa Zanzibar
Rate this item

0 comments:

Post a Comment