Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Thursday, 9 May 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI YA MKURUGENZI WA TAASISI YA DHINUREYN ISLAMIC FOUNDATION SHEIKH SAID HAMAD ABR NCHINI DUBAII             Sehemu katika viwanja vya mkutano wa kimataifa taasisi mbali mbali za Kislamu duniani.
 Sheikh Said Hamad Abri akiwasilisha ripoti ya taasisi yake yenye makao makuu yake Iringa nchini Tanzania mbele hadhara tukufu ya kimataifa.
                                  Sheikh Abri akifafanuwa jambo mbele ya viongozi mbali mbali.
 Mkurugenzi wa DHINUREY ISLAMIC FOUNDATION ya mjini Iringa Tanzania akikabidhiwa tozo maalumu ya utendaji na uendeshaji bora wa taasisi IDF anayo isimamia.

0 comments:

Post a Comment