Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Thursday, 9 May 2013

PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI BAADA YA SHEKH PONDA KUACHIWA HURU LEO ASUBUHI Baadhi ya askari wakiwa juu ya Farasi kuhakikisha usalama wa watuhumiwa kabla ya kuachiwa huru
 Baadhi ya waumini wakiwa na furaha tele baada ya kumlaki shekh Ponda,baada ya kuachiwa na kupewa kifungo cha nje kwa zaidi ya miezi sita.
 Baadhi ya askari wakiwa katika kuhakikisha usalama wa raia unakuwa sawiya


                              Askari wakiwa kazini wakiendeleza kudumisha ulinzi nje ya mahakama
 Baadhi ya wananchi wa jijini Dar es salaam wakiwa juu ya ghorofa wakimlaki shekh Ponda baada ya kuachiwa huru.
 Mmoja kati ya walio achiwa huru akilakiwa ndugu yake mwislamu huku machozi yakimtoka.
 Waandishi wa habari wakiwa wamemzuka shekh Ponda Issa Ponda,ilikutaka kujuwa maoni yake juu  ya uamzi ulio tolewa na mahakama ya kisutu leo hii asubuhi
Shekh Ponda,akiwa na baadhi ya waislamu na askari wakilinda tiyari kwa ajili ya kupanda gari ili kuelekea nyumbani baada baada ya kuachiwa huru.

0 comments:

Post a Comment