Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Tuesday 14 May 2013

Rais wa Togo azikosoa vikali nchi za Magharibi




Rais Faure GnassingbĂ© wa Togo amezikosoa vikali nchi za Magharibi kwa kukata misaada yao kwa nchi hiyo na kusisitiza kwamba hatua hiyo itazidisha  vitendo vya kigaidi nchini humo.
Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kinachojadili  ugaidi barani Afrika, Rais GnassingbĂ©  ameongeza kuwa, nchi za Magharibi zilichukua hatua za kidhulma kwa kukata misaada yao kwa serikali ya Lome mwaka 2008. Ameongeza kuwa, nchi za Magharibi zinapasa kutekeleza ahadi zao ilizozitoa kwa nchi zinazoendelea na hasa za Kiafrika, ili uchumi wa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika ukue na kufikia kiwango cha asilimia 7 mwaka 2015.


0 comments:

Post a Comment