Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Saturday 11 May 2013

RAIS KIKWETE AREJEA TOKA AFRIKA KUSINI JANA

                            02,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 12,2013 Miyladiyah
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 11, 2013 akitokea Cape Town, Afrika ya Kusini, alikohudhuria mkutano wa nchi SADC(PICHA  NA IKULU)

0 comments:

Post a Comment