Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Saturday, 11 May 2013

KAMANDA KOVA AKANUSHA TAARIFA ZA KULIPULIWA KANISA LA KKKT KUNDUCHI

                                 02,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 12,2013 Miyladiyah
 Jeshi la polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam  limekanusha taarifa zilizozagaa kuwa kanisa la KKKT Usharika wa  Kunduchi  limelipuliwa na bomu leo hii.Kamanda Suleiman Kova ameiambia radio Uhuru Fm kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote na ni za uzushi kwani jeshi la Polisi lilirusha bomu la machozi wakati likitafuta waharifu waliokuwa jirani na kanisa hilo.

0 comments:

Post a Comment