skip to main
|
skip to sidebar
Pages
Home
J.Tatu
J.Nne
J.Tano
Alha
Ijum
J.Mosi
J.Pili
Wasiliana Nasi
Powered by
Blogger
.
Sikiliza Live
Tuesday 23 April 2013
Ubalozi wa Ufaransa nchini Libya washambuliwa
14Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/
April 24,2013 Miyladiyah
Habari kutoka Tripoli, mji mkuu wa Libya zinasema kuwa, gari lililokuwa na mada za milipiko limeripuka nje ya ubalozi wa Ufaransa mapema leo na kusababisha uharibifu mkubwa. Habari zaidi zinasema kuwa, walinzi wawili ambao ni wanajeshi wa Ufaransa wamejeruhiwa vibaya kwenye mripuko huo. Mashuhuda wamesema mripuko huo ulikuwa na nguvu kiasi kwamba, umevunja madirisha ya nyumba umbali wa mita 200 kutoka ubalozini hapo. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Laurent Fabius amelaani tukio hilo na kusisitiza kwamba, Paris itafanya juu chini kuwatia nguvuni waliohusika. Mara ya mwisho kutokea shambulio kama hilo ni mwaka uliopita ambapo ubalozi mdogo wa Marekani ulishambuliwa katika mji wa Benghazi, mshariki mwa Libya. Kwenye shambulio hilo la mwezi Septemba, balozi wa Marekani nchini Libya na wanadiplomasia wengine watatu waliuawa
.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Qiblaten 103.6 FM
Radio Qiblaten fm
Iringa, Iringa, Tanzania
Radio Qiblaten 103.6 FM ni Radio ya Kiislam ambao ipo Mkoani Iringa... Dhumuni lake ni Kuelimisha jamili Mkoani Iringa na Tanzania na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia vipindi vya Radio, tukizingatia makundi katika jamii yetu.
View my complete profile
Sikiliza Live
Yaliyomo
Yaliyomo
4 (20)
2 (4)
1 (9)
30 (3)
29 (4)
27 (19)
25 (20)
23 (4)
22 (8)
21 (4)
20 (9)
18 (15)
16 (4)
15 (12)
13 (15)
11 (9)
10 (5)
9 (10)
8 (4)
6 (8)
4 (11)
2 (6)
1 (7)
30 (10)
29 (1)
28 (15)
25 (5)
23 (12)
22 (2)
21 (14)
20 (9)
19 (1)
18 (7)
17 (2)
16 (9)
14 (17)
13 (2)
12 (5)
11 (15)
10 (6)
9 (9)
7 (16)
5 (9)
4 (4)
2 (15)
30 (17)
29 (5)
28 (4)
27 (5)
26 (7)
25 (10)
24 (6)
23 (19)
21 (13)
20 (3)
19 (8)
18 (18)
16 (13)
15 (8)
13 (8)
12 (3)
11 (14)
9 (20)
7 (8)
6 (9)
4 (8)
3 (2)
2 (7)
1 (7)
28 (1)
25 (2)
18 (2)
13 (1)
12 (12)
11 (6)
9 (6)
29 (1)
23 (2)
20 (2)
16 (3)
15 (9)
13 (3)
11 (4)
8 (2)
6 (7)
4 (6)
2 (6)
1 (1)
31 (7)
30 (8)
28 (17)
26 (10)
25 (4)
24 (4)
23 (6)
22 (6)
21 (8)
20 (4)
19 (8)
18 (12)
17 (9)
16 (12)
15 (9)
14 (13)
13 (4)
12 (4)
11 (1)
Marafiki wa Qiblaten fm
99 Graphix Design
Logo Design 4 Your Business
Maarufu
(no title)
PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI BAADA YA SHEKH PONDA KUACHIWA HURU LEO ASUBUHI
29 Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ May 09,2013 Miyladiyah Baadhi ya askari wakiwa juu ya Farasi kuhakikisha usalama wa watuhumiwa ka...
jk AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE
28 Rajab,1434 Hijiriyah/ June07 ,2013 Miyladiyah Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mk...
JWTZ=CONGO LAZIMA ITAWALIKE
01,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 11,2013 Miyladiyah JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema limeanza kuwapeleka askari wake nchini...
HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Historia, sababu na Hati za Muungano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili 1964 kwa Muungano wa Tanganyika ...
PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI YA MKURUGENZI WA TAASISI YA DHINUREYN ISLAMIC FOUNDATION SHEIKH SAID HAMAD ABR NCHINI DUBAII
29 Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ May 09,2013 Miyladiyah Sehemu katika viwanja vya mkutano wa kimataifa taasisi mbali m...
(no title)
ALIYOYASEMA SHEKH PONDA SIKU MOJA BAADA YA KUTOKA JELA, NI PALE MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.
01,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 11,2013 Miyladiyah Umati mkubwa wa waumini walimiminika kutaka kusikia mawaidha yake kwa mara ya ...
Nauli za daladala, mabasi,Treni, meli juu
22,Jumaadal ula,1434Hijiriyah / April 03,2013Miyladiyah MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nch...
FBI waingia Arusha kuchunguza bomu la Soweto
26 shaaban,1434 Hijiriyah/ 05 july,2013 Miyladiyah Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI),...
Karibu
Shukran
0 comments:
Post a Comment