Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwid
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Balozi wa Falme za Kiarabu, Abdulla Ibrahim Al-Suwidi, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment