Sikiliza Live
Monday, 1 April 2013
RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJERUHI WALIOUMIA KATIKA GHOROFA LILILOPOROMOKA DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Sewa haji ya Taasisi
ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es
salaam leo Machi 31, 2013 wakimjulia hali na kumpa pole Bw. Selemani
Saidi, mmoja wa majeruhi walionusurika katika jengo lililoporomoka
katikati ya jiji Ijumaa iliyopita na kusababisha vifo vya watu 25
Kushoto mwenye suti nyeusi ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Raymond
Mushi Kulia ni Daktari C.N. Mcharo wa taasisi ya Mifupa ya Moi:chanzo
kwa hisani ya Ikulu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment