Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Thursday, 25 April 2013

DKT. SHEIN AFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA

                      

 Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya mya ya Dimani CCM Mkoa wa Magharibi Unguja,katika mkutano wa Majumuisho ya ziara yake aliyoifanya Mkoani humo iliyomalizika leo, mkutano huo ulifanyika ukumbi wa CCM Mkoa Amani..[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

0 comments:

Post a Comment