
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Ugiriki nchini Mhe Elefthereios Kouvaritakis baada ya kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo.
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bw John haule kwa Balozi wa Bangladesh nchini Mhe Wahidur Rahman baada ya kupokea hati zake za utambulisho.

Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati zake za utambulisho
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi
wa Kuwait nchini Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati zake za
utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo.
0 comments:
Post a Comment