Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 2 June 2013

DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI

                                    24Rajab,1434 Hijiriyah/ JUNY 02,2013 Miyladiyah
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari za Mazingira kwa Maendeleo ya Bara la Afrika, uliofanyika Jijini ArushaJana.

0 comments:

Post a Comment