
Sikiliza Live
Sunday, 12 May 2013
BAADHI YA VIONGOZI WAANDAMIZI WA Tv Afrika Swahili
03,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 13,2013 Miyladiyah
Baadhi ya viongozi waandamizi wa tv afrika inayorusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili kutokea mjini Khartum nchini Sudan,kwanzia kulia ni Mundhir Husein kutoka kitengo cha kurikodi na uhariri anaefuatia ni Ust:Shams Elmi mkuu wa studio za tv Afrika swahili nchini Tanzania,mwenye suti nyeusi ni Al-akh Hudhaifiy Abdul karim mkurugenzi mkuu wa tv afrika na wamwisho kushoto ni Ust Muharam Idris Mwaita msimamizi mkuu wa studio zizopo Afrika ya mashariki.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment