Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 21 April 2013

Waziri afanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Vodacom

                     12Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ April 22,2013 Miyladiyah
 Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof: Makame Mbarawa akimkaribisha ofisini kwake jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza ambapo baadae viongozi hao walifanya mazungumzo juu ya masuala mbalimbali katika sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini na mipango ya Vodacom ya kushirikiana na serikali kuboresha zaidi sekta hiyo

0 comments:

Post a Comment