Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Wednesday 3 April 2013

TUNDUMA HAPAKALIKI HALI NI TETE MNO

                           22,Jumaadal ula,1434Hijiriyah/ April 03,2013Miyladiyah
 Habari zilizo tufikia hivi punde ni kuwa Tunduma hali ni mbaya huku kwa zaidi ya masaa matano polisi wamekua wakipambana na raia na tayari msikiti mmoja umechomwa moto huku watu wakiamriwa kukaa ndani na mabomu ya machozi yamekua yakitupwa hadi vyumbani.
Bado tuna fanya jitihada za  kumpata kamanda wa polisi wa Tunduma kwa maelezo ya kina juu ya hali ilivyo huko.

0 comments:

Post a Comment