Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Tuesday, 16 October 2012

Dkt.Bilal Afungua Mkutano Wa TAKUKURU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa mwaka wa Viongozi wa Takukuru, uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 16, 2012. Mkutano huo unatarajiwa kumalizika kesho.

0 comments:

Post a Comment