Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 5 May 2013

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA MAENEO YA MASHINETATU MANISPAA YA IRINGA LEO


ASKARI WA KUTULIZA GHASIA WAKIWA MAENEO YA MASHINE TATU KUHAKIKISHA HAKUNA MFANYA BIASHARA AKIFANYA BIASHA YOYOTE KATIKA BARA BARA YA MASHINETATU MANISPAA YA IRINGA 
 
Mkuu  wa  wilaya ya  Iringa ambae ni kaimu mkuu  wa  mkoa wa Iringa Dr Leticia  Warioba  akitembelea maeneo ya mashine tatu   kuona jinsi ambavyo  polisi  walivyojipanga  kupambana na  wavunjaji  wa sheria 

Ulinzi mkali eneo la Mashine  tatu  mjini Iringa  hivi  sasa ,Machinga  wakubali yaishe  wasitisha  kuvunja  sheria
 


 Wafanyabiashara waliotaka kufanya  biashara eneo la  Mashine  tatu  waondoka baada ya  polisi  kukesha  wakilinda  eneo hilo usiku  kucha  leo

0 comments:

Post a Comment