skip to main
|
skip to sidebar
Pages
Home
J.Tatu
J.Nne
J.Tano
Alha
Ijum
J.Mosi
J.Pili
Wasiliana Nasi
Powered by
Blogger
.
Sikiliza Live
Thursday, 28 March 2013
Mbunge wa CUF afariki dunia Tanzania
Mbunge wa Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania wa Jimbo la Chambani, Salim Hemed Khamis amefariki dunia. Mbunge huyo alianguka jana ghafla akiwa katika kikao cha kamati ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa katika ofisi ndogo za bunge jijini Dar es salaam wakati kamati hiyo ikiendelea na kikao chake. Mbunge huyo wa CUF ambaye siku za hivi karibuni alielekea nje ya nchi kwa matibabu ya afya yake alifikwa na hali hiyo na kubebwa na baadhi ya wabunge kwa kushirikiana na baadhi ya waandishi wa habari na kutolewa nje ya chumba cha mkutano na kupelekwa hospitali ya taifa ya Mhimbili ambapo alilazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu (ICU), kwa uchunguzi na matibabu zaidi. Habari zaidi zinasema kuwa, baada ya marehemu kuanguka, Wajumbe wa kamati hiyo wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Edward Lowassa na Makamu Mwenyekiti, Mussa Hassan Zungu na baadhi ya wajumbe walimtoa nje ya ukumbi na kumpepea kwa kutumia magazeti na majarida. Hata hivyo, hali yake ilizidi kuwa mbaya huku akizungumza kwa tabu na kusema kuwa alikunywa dawa za shinikizo la damu (BP) kabla hajala chochote na hivyo kuzidiwa. Baadhi ya wabunge walisema kuwa Khamis akiwa amekaa, ghafla alianza kutapika huku akilalamika kuwa hajisikii vizuri baada ya kunywa dawa hizo na hali yake kubadilika.
0 comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Qiblaten 103.6 FM
Radio Qiblaten fm
Iringa, Iringa, Tanzania
Radio Qiblaten 103.6 FM ni Radio ya Kiislam ambao ipo Mkoani Iringa... Dhumuni lake ni Kuelimisha jamili Mkoani Iringa na Tanzania na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia vipindi vya Radio, tukizingatia makundi katika jamii yetu.
View my complete profile
Sikiliza Live
Yaliyomo
Yaliyomo
4 (20)
2 (4)
1 (9)
30 (3)
29 (4)
27 (19)
25 (20)
23 (4)
22 (8)
21 (4)
20 (9)
18 (15)
16 (4)
15 (12)
13 (15)
11 (9)
10 (5)
9 (10)
8 (4)
6 (8)
4 (11)
2 (6)
1 (7)
30 (10)
29 (1)
28 (15)
25 (5)
23 (12)
22 (2)
21 (14)
20 (9)
19 (1)
18 (7)
17 (2)
16 (9)
14 (17)
13 (2)
12 (5)
11 (15)
10 (6)
9 (9)
7 (16)
5 (9)
4 (4)
2 (15)
30 (17)
29 (5)
28 (4)
27 (5)
26 (7)
25 (10)
24 (6)
23 (19)
21 (13)
20 (3)
19 (8)
18 (18)
16 (13)
15 (8)
13 (8)
12 (3)
11 (14)
9 (20)
7 (8)
6 (9)
4 (8)
3 (2)
2 (7)
1 (7)
28 (1)
25 (2)
18 (2)
13 (1)
12 (12)
11 (6)
9 (6)
29 (1)
23 (2)
20 (2)
16 (3)
15 (9)
13 (3)
11 (4)
8 (2)
6 (7)
4 (6)
2 (6)
1 (1)
31 (7)
30 (8)
28 (17)
26 (10)
25 (4)
24 (4)
23 (6)
22 (6)
21 (8)
20 (4)
19 (8)
18 (12)
17 (9)
16 (12)
15 (9)
14 (13)
13 (4)
12 (4)
11 (1)
Marafiki wa Qiblaten fm
99 Graphix Design
Logo Design 4 Your Business
Maarufu
(no title)
PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI BAADA YA SHEKH PONDA KUACHIWA HURU LEO ASUBUHI
29 Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ May 09,2013 Miyladiyah Baadhi ya askari wakiwa juu ya Farasi kuhakikisha usalama wa watuhumiwa ka...
jk AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE
28 Rajab,1434 Hijiriyah/ June07 ,2013 Miyladiyah Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mk...
(no title)
JWTZ=CONGO LAZIMA ITAWALIKE
01,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 11,2013 Miyladiyah JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ), limesema limeanza kuwapeleka askari wake nchini...
HISTORIA YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
Historia, sababu na Hati za Muungano Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa mnamo tarehe 26 Aprili 1964 kwa Muungano wa Tanganyika ...
PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI YA MKURUGENZI WA TAASISI YA DHINUREYN ISLAMIC FOUNDATION SHEIKH SAID HAMAD ABR NCHINI DUBAII
29 Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ May 09,2013 Miyladiyah Sehemu katika viwanja vya mkutano wa kimataifa taasisi mbali m...
ALIYOYASEMA SHEKH PONDA SIKU MOJA BAADA YA KUTOKA JELA, NI PALE MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM.
01,RAJAB,1434 Hijiriyah/ May 11,2013 Miyladiyah Umati mkubwa wa waumini walimiminika kutaka kusikia mawaidha yake kwa mara ya ...
Nauli za daladala, mabasi,Treni, meli juu
22,Jumaadal ula,1434Hijiriyah / April 03,2013Miyladiyah MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nch...
FBI waingia Arusha kuchunguza bomu la Soweto
26 shaaban,1434 Hijiriyah/ 05 july,2013 Miyladiyah Askari wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI),...
Karibu
Shukran
0 comments:
Post a Comment