Mkutano wa Waislamu Mtwara wakipinga gesi isiende Dar es Salaam (Jana)
Licha ya Mvua kuendelea kunyesha lakini watu bado waliendelea kujazana...Hii inatia hamasa sana!! Na tamko lao ambalo wamesema ni la Waislamu halijatoka nje ya madai ya wana Mtwara,kwamba gesi isitoke...na Kauli Mbiu yao ni Gesi Kwanza Uhai Baadae!!
Wananchi wa Mtwara wakiwasikiliza kwa makini viongozi wao
Waandishi wa Habari nao wakifanya kazi zao
Japo kamvuwa kalinyesha lakni waumini walikomaa
0 comments:
Post a Comment