Sikiliza Live
Wednesday, 17 October 2012
SHEKH PONDA AKAMATWA USIKU WA KUAMKIA LEO
Katibu mkuu waBaraza kuu la jumuiya na taasisi za kislamu Tanzania Sh:Ponda Issa Ponda amekamatwa usiku wa ka kuamkia leo katika msikiti wa Tungi jijini Dar es salaam,tukio hilo limezua mtafaruku katika jamii ya waislamu kote nchini hasa jijini Dar es salaam hivyo kupelekea polisi kulizingira eneo la waislamu la chan'gombe ambalo lnadaiwa waislamu walilikomboa siku ya ijumaa iliyopita kutoka kwa mmiliki aliuziwa eneo hilo huku likiwa ni mali ya waislamu na ukombozi huo ulifanyika huku ukiongozwa na na sh:Ponda,lakini inaarifiwa kuwa waislamu wanaendelea kujikusanya kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam ili kuhakikisha serikali inamuachia Shekh Ponda na pia kurejeshwa kwa kiwanja hicho kinacho daiwa kuwa ni mali ya waislamu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment