Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday 28 October 2012

Lipumba aitaka serikali kumuachia Sheikh Ponda.

Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu. 
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.
Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

0 comments:

Post a Comment