Sikiliza Live
Tuesday, 16 October 2012
JK AONGOZA MKUTANO WA WAFANYA BIASHARA WA OMAN NA TANZANIA
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete jana aliongoza wafanya biashara wa Oman na Tanzania katika mkutano ulio fanyika mjini maskati nchini humo,Rais Kikwete aliangozana na viongozi mbali mbali wa serikali akiwemo waziri wa viwanda na biashara Dr.Abdallah Kigoda waziri wa mashauri ya kigeni Bernad Membe na viongozi wengine.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment