SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi
Tanzania (Tucta), limependekeza kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, migomo
na maandamano viwe haki ya msingi ya raia.
Wakati Tucta likitoa pendekezo
hilo, Chama cha UPDP kimeungana na CCM kutaka mgombea binafsi aruhusiwe,
huku NCCR Mageuzi kikiungana na Chadema kutaka umri wa urais ushushwe
na apunguziwe madaraka
Sikiliza Live
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment