Wazayuni wanataka nini katika sekta ya sinema duniani?
Katika zama zetu hizi, sinema ni chombo muhimu kinachotumiwa kueneza
utambulisho, utamaduni na fikra. Mfano maalumu wa uwekezaji mkubwa
katika sekta ya sinema duniani ni uwekezaJi wa Wazayuni katika sekta
hii.
Wazayuni walifahamu mapema sana taathira ya sekta ya sinema na
umuhimu wake katika propaganda na ili kuidhibiti sekta hii walitumia
uwezao wao wote.
Mwanzoni mwa kudhihiri sekta ya sinema duniani, Mayahudi walitoa
misaada mikubwa ya kifedha kwa kwa sekta hiyo muhimu kwa lengo la
kutekeleza njama zao za kishetani. Kwa hivyo baada ya muda usio mrefu
Mayahudi walinunua mashirika mashuhuri ya kutengeneza filamu duniani na
hasa Marekani ili kuweza kudhibiti na kuhodhi utengenezaji filamu hasa
katika nchi za Magharibi. Ni kwa sababu hii ndio hivi sasa aghalabu ya
mashirika ya kutengeneza filamu Marekani yanamilikiwa na Wazayuni. Kwa
msingi huo mbali na kupata faida kubwa itokanayo na uuzaji filamu,
Wazayuni wanatumia filamu kueneza fikra zao potofu duniani.
Kwa mfano ushawishi wa Wazayuni katika Hollywood ni mkubwa kiasi
kwamba tukio bandia la Holocaust sasa limebadilika na kuwa nadharia
inayokubalika Hollywood na kila mtengeneza filamu ambaye anafanyia kazi
nadharia hiyo anapata uungaji mkono mkubwa wa kifedha kutoka kwa
Wazayuni. Uungaji mkono huu huanza tokea wakati wa utengenezaji filamu
hadi inapopigiwa debe katika vyombo vya habari ili kuonyeshwa katika
kumbi za sinema kote duniani.
Hata katika medani za mashindano katika matamasha ya filamu duniani,
Wazayuni huhakikisha kuwa filamu wazitakazo ndizo zinazopata zawadi bora
zaidi.
Neal Gabler, mwandishi Myahudi katika kitabu chenye anuani ya ‘An
Empire of Their Own: How the Jews Invented Hollywood’ yaani ‘Ufalme Wao
Binafasi: Namna Mayahudi Walivyobuni Hollywood’ ameashiria studio kadhaa
kubwa za kutengeneza filamu Hollywood zinazomilikiwa na Mayahudi. Kati
ya studio au mashirika hayo ni Colombia, Metro Golden-Mayer, Warner
Brothers, Paramount, Universal na Fox.
Norman F. Cantor mhadhiri wa Chuo Kikuu cha New York katika utafiti
alioufanya mwaka 1994 aliashiria nukta hii kuwa, utengenezaji na
usambazaji filamu Hollywood katika miaka 50 ya awali ulikuwa chini ya
udhibiti wa Mayahudi wahamiaji na hivi sasa pia sehemu kubwa ya sekta ya
sinema Marekani inahodhiwa na Mayahudi.
Ushawishi huu hasa unajumuisha pia kuwaunga mkono wacheza filamu
Mayahudi kiasi kwama leo huko Hollywood kuna idadi kubwa ya wacheza na
watengeneza filamu Mayahudi ambao wanaunga mkono utawala wa Kizayuni wa
Israel. Kwa hivyo mbali na kuwa utawala wa Kizayuni unawuanga mkono
wasanii Mayahudi’ vile vile wasanii hao pia binafsi wana raghba ya
kueneza na kutangaza fikra za Kizayuni. Watengeneza filamu waungaji
mkono Utawala wa Kizayuni ni kama vile Erich von Stroheim, Fritz Lang,
Roman Polanski, Steven Spielberg na Samuel Goldwyn. Watengeneza filamu
hawa ambao baadhi wameshafariki si tu kuwa ni waungaji mkono Israel bali
pia athari zao zilikuwa na lengo la kutangaza fikra za Kizayuni.
Je, ni kitu gani kilichozingatiwa katika filamu hizi na ni maudhui
ipi iliyopewa umuhmu katika filamu zinazounga mkono utawala bandia wa
Israel?
Steven Spielberg mtengeneza filamu Mmarekani alijadili kadhia ya
Holocaust katika filamu yake ya mwaka 1993 iliyopewa jina la
‘Schneider’s List’ au ‘Orodha ya Schneider’. Kwa miaka mingi kupitia
taasisi ya Kizayuni ya SHOA, Spielberg alifanya bidii kukusanya visa
vinavyohusiana na tukio bandia la Holocaust. Aidha alishirikiana na
taasisi nyingi za kielimu kuhusiana na suala hili.
Karen Polak mkurugenzi wa moja kati ya taasisi alizoshirikiana nazo
Spielberg anasema lengo la filamu kama ‘Schindler’s List’ ni kutoa
mafunzo kwa ajili ya kuhakikisha kuwa vizazi vijavyo vina maelezo kamili
kuhusu kadhia ya Holocaust. Kwa hivyo linalobainika hapa ni kuwa
watengeneza filamu katika Hollywood pamoja na wanafunzi wao katika ardhi
za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) wanafanya kila wawezalo
kubakisha hai tukio bandia la Holocaust na kueneza fikra potofu kuwa
Mayahudi walidhulumniwa katika Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Kwa mujibu wa nyaraka za kihistoria sambama na kubuniwa utawala wa
Kizayuni wa Israel mwaka 1948 uzingatiwaji sekta ya sinema na Wazayuni
pia ulianza kwa mpangilio maalumu. Kwa miaka mingi Wazayuni wamekuwa
wakijipenyeza nyuma ya pazia katika nafasi muhimu za uongozi Hollywod
ili waweze kudhibiti mkondo wa utengenezaji filamu duniani kwa maslahi
yao haramu. Pamoja na hayo hawakuwa wanajihusisha moja kwa moja katika
masuala ya sinema kimataifa . Lakini kutoka mwaka 2000 hadi sasa, filamu
ambazo hutengenezwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu
(Israel) zimekuwa zikishirikishwa katika matamasha ya kimataifa. Kwa
hivyo Wazayuni sasa wanajitokeza waziwazi katika sekta ya filamu dunia.
Kufanyika ‘Tamasha ya Filamu ya Israel’ katika miji wa Los Angeles,
Miami na New York ni mfano wa kujitokeza wazi Wazayuni katika sekta ya
filamu. Tamasha hizi hufanyika kwa ushirikiano wa Utawala wa Kizayini na
Marekani ambapo filamu zilizotengenezwa Israel huonyeshwa.
Jambo ambalo limebainika ni kuwa harakati hizi haziishii tu katika
kueneza fikra za Kizayuni. Mwaka 1993, utawala wa Kizayuni wa Israel
unaokalia Quds Tukufu kwa mabavu ulianzisha New Foundation for Cinema
and Television yaani ‘Taasisi ya Mpya ya Israel ya Sinema na
Televisheni’. Kupitia taasisi hii, Utawala wa Kizayuni unakusudia
kueneza ushawishi wake katika soko la sinema duniani. Taasisi hii yenye
bajeti kubwa ya kifedha inajitahidi sana kuwavutia watengeneza filamu
Waarabu.
Amir Isfandyar mtaalamu wa sinema Iran anasema hivi kuhusu suala
hili: “Wataalamu 40 wa sinema Palestina akiwemo Aliya Suleiman, Rashid
Masharawi na Hany Abu-Assad walitoa taarifa na kukosoa vikali mchezo huu
wa kipropaganda wa Wazayuni. Pamoja na kuwepo malalamiko hayo Wazayuni
wanaendelea kuwekeza katika taasisi hiyo ili kueneza sera zao duniani.
Jambo la kushangaza hapa ni kuwa Wazayuni hata wanawaunga mkono
watengeneza filamu Waarabu ambao wanatengeneza filamu ambazo kidhahiri
zinapinga Uzayuni. Lakini imebainika kuwa lengo la uungaji mkono huu ni
kuwadhibiti zaidi watengeneza filamu Waarabu na iwapo hili litaendelea
litakuwa ni kwa hasara ya Wapalestina. Uchunguzi kuhusu filamu
zilizotengenezwa na Wazayuni umebaini kuwa lengo si kutengeneza tu
filamu zinazotetea mitazamo ya Kizauni kama vile kuhusu Holocaust bali
lengo jingine ni kuchafua sura ya Uislamu halisi. Lakini kile
wanachosahau Wazayuni ni kuwa Uislamu ni chimbuo la uokozi wa mwanaadamu
na hivyo filamu za Hollywood haziwezi kubadilisha mkondo wa
marekebisho na ustawi wa mwanaadmau katika Uislamu. Katika kujaribu
kukabiliana na Uislamu Hollywood pia imejaribu kutengeneza filamu kuhusu
mwokozi wa dunia lakini mwokozi wanaomuonyesha hana umaanawi wala
utakatifu. Suala hili linahitaji utafiti zaidi, lakini kile
kinachobainika wazi hapa ni kuwa pamoja na kutumia uwezo na suhula zao
zote za kipropaganda na vyombo vya habari, Wamagharibi na Wazayuni
hawawezi kufanikiwa katika kueneza hadaa yao kwani hivi sasa mataifa
yameamka na hayadanganyiki tena.
Hivi sasa waliowengi duniani wanafahamu vyema kuwa njama kama ya hivi
karibuni ya Mzayuni huko Marekani ya kueneza uongo na matusi dhidi ya
Mtume wa Uislamu SAW haitakuwa na natija nyingine ila kuweka wazi zaidi
malengo machafu ya Wazayuni.
Sikiliza Live
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment