Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Tuesday, 6 November 2012

KATIBU WA MUFTI ZANZIBAR SAMAHATU SHEIKH FADHIL SULEIMAN SORAGA AMEMWAGIWA TINDI KALI

Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya Mwanzo katika Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe. Sheikh amepelekwa Dar es Salaam kwa matibabu kwa ndege ya serikali.Tunamtakia matibabu mema na inshallah atapoa kwa jina la Mwenyeenzi Mungu.

0 comments:

Post a Comment