Rais Thein Sein wa Myanmar amezuia Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu
(OIC) kufungua ofisi nchini humo kwa ajili ya Waislamu wa jamii ya
Rohingya.
Taarifa iliyotolewa na ofisi ya Rais wa Myanmar imeeleza kuwa, Sein
hatoruhusu kufunguliwa ofisi ya OIC nchini humo eti kwa kuwa haiendani
na maslahi ya wananchi. Sein amechukua uamuzi huo baada ya mabudha
nchini humo kufanya maandamano kupinga juhudi za OIC za kutaka
kuwasaidia Waislamu wa kabila la Rohingya wanaokandamizwa nchini humo.
Sikiliza Live
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment