Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Monday, 15 October 2012

Moro yafikia makubaliano na serikali, Ufilipino

Wanaharakati wa Moro Islamic Liberation Front wa nchini Ufilipino wametia saini makubaliano ya amani na serikali ya nchi hiyo, hatua inayotarajiwa kusitisha uhasama kati ya pande mbili hizo uliodumu kwa takriban miongo 4. Sherehe za kusaini makubaliano hayo zimefanyika jana katika ikulu ya rais mjini Manila.

0 comments:

Post a Comment