skip to main |
skip to sidebar
POLISI AUAWA KWA MAPANGA HUKO ZANZIBAR
Polisi
wa kikosi cha FFU amepigwa mapanga na kufariki dunia jana usiku maeneo
ya Bububu. Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar amethibisha kuwa
aliyeuliwa ni CPL Said Abdulrahman. Subhannallah
0 comments:
Post a Comment