وا سجد واقترب(صدق الله العظيم)BASI SUJUDU NA UKURUBIE
MAASHALLAH,Je?wafahamu kuwa hakuna sehemu muislamu anakuwa karibu sana na mola wake kuliko anavyo kuwa amesujudu,basi tukirithirishe kumuomba Allah tuwapo katika sijda
Radio Qiblaten 103.6 FM ni Radio ya Kiislam ambao ipo Mkoani Iringa... Dhumuni lake ni Kuelimisha jamili Mkoani Iringa na Tanzania na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia vipindi vya Radio, tukizingatia makundi katika jamii yetu.
0 comments:
Post a Comment