Sikiliza Live
Thursday, 18 October 2012
MWENYEKITI WA UAMSHO ANENA KUHUSU KUTOWEKA KWA SHEKH FARID
AMIRI MKUU WA JUMUIA YA UAMSHO ZANZIBAR SHEIKH MSELEM BIN ALLY AMESEMA KUWA WAO KAMA JUMUIA WAMESHINDWA KABISA KUMTAFUTA WALA KUJUA ALIPO SHEIKH FARIDI PIA AMESEMA KUA KUWA HATA JESHI LAPOLISI LINMESHINDWA KUMTAFUTA NA KUJUA ALIPO HIVO BASI AMEWATAKA WANANCHI KUMTAFUTA KIONGOZI WAO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment