Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 14 October 2012

Dr.Bilal awaaga Wagenyi wa Allah(mahujaji).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Mahujaj kati ya 150 walioondoka jana kuelekea Saud Arabia tiari kwa ajili ya kutekeleza moja kati ya nguzo tano za uislamu(Hijah). Makamu alifika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jioni Oktoba 14, 2012 na kuzungumza na Mahujaj hao kuwaaga na kuwakabidhi  Misahafu kila mmoja kabla ya kuondoka.

0 comments:

Post a Comment