BARAZA LA WAWAKILISHI HUKO ZANZIBAR KUTOA MAONI YAO JUU YA KATIBA LEO
Wakati kukiwa na mitazamo tofauti juu ya muungano visiwani Zanzibar na hata wengine kufikia kusema kuwa wanahitaji kuona hati ya muungano leo wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanatarajiwa kutoa maoni yao leo.
Radio Qiblaten 103.6 FM ni Radio ya Kiislam ambao ipo Mkoani Iringa... Dhumuni lake ni Kuelimisha jamili Mkoani Iringa na Tanzania na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia vipindi vya Radio, tukizingatia makundi katika jamii yetu.
0 comments:
Post a Comment