Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Saturday 15 June 2013

DKT. BILAL AKUTANA NA UJUMBE WA CHAMA CHA UKOMBOZI CHA PALESTINA

                                   
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Chama cha Ukombozi cha Palestina (PLO), Tayseer Khalid, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini Kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam
 

0 comments:

Post a Comment