Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Wednesday, 29 May 2013

TANGAZO LA KONGAMANO LA KIISLAMU

 
KONGAMANO KUBWA LITAKALOHUDHURIWA NA MASHEKH KUTOKA TAASISI ZOTE ZA KIISLAMU BILA KUJALI TOFAUTI ZAO ZA KIMADHEHEBU LITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DAIMON JUBLIY SIKU YA JUMAPILI SAWA KABISA NA JUNI 2, 2013 KUANZIA SAA 3:00-6:45 MCHANA.

AGENDA ZA KONGAMANO HILO USIKOSE KUSOMA GAZETI LA KISIWA LA IJUMAA YA MEI 31, 2013.

LAKINI SUALA LA KUFUTWA KWA SOMO LA MAARIFA YA UISLAMU KATIKA ORODHA YA MASOMO YANAYOTAHINIWA KATIKA NGAZI ZOTE ZA ELIMU KITAIFA, LITAJADILIWA KWA KINA.

TAFADHALI NDUGU YANGU, SAMBAZA TAARIFA HII KADRI UWEZAVYO ILI KUJENGA UMOJA NA MSHIKAMANO MIONGONI MWA WAISLAMU.

0 comments:

Post a Comment