Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Wednesday, 22 May 2013

JK AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA IRINGA-DODOMA


 Rais Jakaya  Kikwete (kushoto) akiteta  jambo na mbunge  wa  jimbo la Isimani na  waziri  wa nchi  ofisi ya  waziri mkuu  sera na uratibu  wa bunge Mh Wiliam Lukuvi leo kabla ya kuzindua barabara  ya Iringa - Dodoma


Sehemu ya Ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma ukiendelea huku maeneo ya isimani wilaya ya iringa vijijin

 Uwekaji jiwe la msingi barabara ya Iringa-Dodoma uliofanyika migori mtera


0 comments:

Post a Comment