Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Monday, 20 May 2013

BUNGE NCHNI TZ LAAHIRISHWA BAADA YA SUGU KUCHAFUA HALI YA HEWA

 
Breaking News:Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Anna Makinda,amelazimika kuliahirisha bunge kwa dharura ili kutoa nafasi kwa Kamati ya kudumu ya maadili ya bunge kupitia hotuba ya makadirio ya wizara ya Habari,Vijana utamaduni na michezo,iliyokuwa inawasiliashwa na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ambaye ni msemaji wa kambi ya upinzani kwa wizara hiyo kwa maelezo kuwa hotuba hiyo ilikuwa imejaa uchochezi.

0 comments:

Post a Comment