RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA NA WENYE VIWANDA LA UTURUKI (TUSKON) NA UJUMBE WAKE LEO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la
Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON) Bw. Rizanur Meral
na ujumbe wake leo April 19, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam
Radio Qiblaten 103.6 FM ni Radio ya Kiislam ambao ipo Mkoani Iringa... Dhumuni lake ni Kuelimisha jamili Mkoani Iringa na Tanzania na Dunia kwa Ujumla kwa kutumia vipindi vya Radio, tukizingatia makundi katika jamii yetu.
0 comments:
Post a Comment