Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 21 April 2013

Benki ya Dunia yatoa Sh314bn Tanzania kusaidia Umeme, Gesi na Bajeti

                       11Jumaadal Aakhir,1434 Hijiriyah/ April 21,2013 Miyladiyah 

Waziri wa Fedha, Dkt. Wiliam Mgimwaakisoma hotuba baada ya kusaini mikataba mitatu ya jumla ya shilingi bilioni 341 huku akishuhudiwa na ujumbe wa Benki ya Dunia ukiongozwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi, Philippe Dongier.

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akisaini mojawapo ya mikataba ambapo Serikali ya Tanzania imepata bilioni 341

0 comments:

Post a Comment