Powered by Blogger.

Sikiliza Live

Sunday, 28 October 2012

Wananchi mkoani Iringa wanufaika na Swadaqah ya Udhuhiya


Taasisi ya Dhinureyn Islamic Foundation ya mkoani Iringa imegawa sadaka ya Nyama za Udhuhiya kwa mamia ya Wananchi mkoani hapa ikiwemo makundi maalumu kama vile wajane,walemavu,yatima,wazee na kongwe pamoja na makundi mbali mbali ya wasio jiweza.

0 comments:

Post a Comment